Posts

Showing posts from November, 2021

C6: AFYA YA MENO KUTOKA KWA MTAALAMU (DENTAL HEALTH TIPS FROM A DENTIST) || ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA HARUFU MBAYA YA KINYWA HATA BAADA YA KUPIGA MSWAKI.

Image
 Na Mwandishi Arnold Lusingo (Mwandishi ni mwanafunzi wa udaktari wa afya ya kinywa katika Chuo cha Primary health care Institute, Iringa Contacts: Twitter@kakadentine, FB: Arnold Lusingo) Tatizo la kutoa harufu mbaya kwenye kinywa hata baada ya kusafisha kinywa  limewakumba watu wengi sana na wao bila kujua sababu ya harufu hizo wametumia dawa mbalimbali za kienyeji na hata za hospitali bila mafanikio wala mabadiliko yoyote.   Hata hivyo zipo sababu nyingi zinahusishwa kuwa kama ni sababu kuu kusababisha harufu isiyoisha kutoka kwenye kinywa cha mtu, sababu hizo ni kama ifuatavyo. 1. Usafishaji mbovu wa kinywa (poor oral hygiene) 2. Uwepo wa jino lililotoboka na kuhifadhi mabaki ya vyakula. 3. Uwepo wa uchafu mgumu usioweza kutoka kwa mswaki ugaka (calculus). 4. Magonjwa ya fizi kwa namna zake(gingivitis, periodontitis). 5. Kuwepo kwa nyama iliyofunika jino linaloota hasa meno ya nyuma (flap). 6. Magonjwa mengine ya mifumo ya mwili(other systemic diseases)....

UP NEXT: C8- BOOK SYNOPSIS -Think Again: The Power of Knowing What You Don't Know by Adam Grant

Image